TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Tanganyika

The Typologically Different Question Answering Dataset

Tanganyika ilikuwa sehemu kubwa ya koloni ya Ujerumani hadi vita kuu ya kwanza ya Dunia. Baada ya 1916 ilivamiwa na Uingereza na Ubelgiji.  Kuanzia 1922 Tanganyika ilikuwa eneo la kudhaminiwa kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa lililokuwa chini ya Uingereza na nchi huru kati ya 1961 hadi 1964, mwaka wa kwanza kama ufalme, halafu kama jamhuri. 

Tanzania ilitawaliwa na nchi gani kipindi cha ukoloni?

  • Ground Truth Answers: UjerumaniUjerumani

  • Prediction:

Maeneo yaliyoitwa baadaye (1920) "Tanganyika" yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama koloni ya Ujerumani iliyoitwa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Kabla ya kufika kwa ukoloni kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila. 

Tanzania ilitawaliwa na nchi gani kipindi cha ukoloni?

  • Ground Truth Answers: Ujerumani

  • Prediction: