Sayari za jua letu hutofautiana kwa ukubwa na muundo. Mshtarii (Jupiter) ni sayari kubwa na masi yake ni mara 318 masi ya dunia yetu. Sayari ndogo ni Utaridi na masi yake ni takriban nusu ya dunia.
Sayari kubwa kuliko zingine inaitwaje?
Ground Truth Answers: MshtariiMshtariiMshtarii
Prediction: