TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Papai

The Typologically Different Question Answering Dataset

Papai ni tunda la mpapai ("Carica papaya"), mti wa familia Caricaceae. Unaasili ya Amerika ya Kusini na ya Kati na unakuzwa huko Meksiko, karne kadhaa kabala ya kuibuka kwa tamaduni mpya za huko Amerika. Ni mti mrefu wenye shina la urefu wa mita 5 mpaka 10, wenye majani yaliojipanga yaliojizungusha na kujishikiza juu kwenye shina la miti, shina kwa upande wa chini huwa na makovu mengi kuonesha sehemu ambayo majani yalikuwa majani ya mpapai ni makubwa sm 50 – 70 kwa upana, maua yake ni madogo na hutokea sehemu yalipochomoza majani, hutengeneza tunda papai lenye urefu wa sm 15- 45, na upana wa sm10 – 30. Tunda huiva pale linapokuwa laini ( kama vile parachichi au zaidi) na ngozi yake inapokuwa na ngozi yake inapo karibia rangi ya chungwa ladha ya chungwa hukamilana na ile kati ya nanasi na peasi, ingawa huwa ya utulivu bila ya uchungu wowote.

Mpapai una urefu gani?

  • Ground Truth Answers: mita 5 mpaka 10mita 5 mpaka 10

  • Prediction: