TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Nyumba

The Typologically Different Question Answering Dataset

Nyumba huwa na ukuta na paa. Kila nyumba inahitaji mlango; kama nyumba ni ndogo mlango huu unaweza kutosheleza pia mahitaji ya mwanga. Nyumba nyingi huwa pia na madirisha kwa kuingiza nuru na hewa. 

Sehemu ya juu ya nyumba huitwaje?

  • Ground Truth Answers: paapaa

  • Prediction:

Katika nachi za joto nyumba za utamaduni asilia mara nyingi hujengwa nyepesi. Penye joto hakuna sababu ya kuwa na kuta nene za kuzuia baridi. Paa inahitaji kuwapa wenyeji kivuli wakati wa mchana na kinga dhidi ya mvua wakati wa masika.

Sehemu ya juu ya nyumba huitwaje?

  • Ground Truth Answers: Paa

  • Prediction: