TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Nyangumi

The Typologically Different Question Answering Dataset

Nyangumi kwa wastani wanaishi miaka 40 mpaka 90, kulingana na aina zao na mara chache hufanikiwa kiushi zaidi ya karne moja. Hivi karibuni kipande cha kamba kilichokuwa kinatumiwa na wavuvi wa nyangumi wa karne ya 19, kilipatikana kwa nyangumi huko Alaska, na kuonesha kuwa nyangumi yule alikuwa na umri kati ya miaka 115 na 130.  kwa kutumia mbinu ya kupima umri kwa kuangalia kiwango cha aspatiki asidi kwenye macho ya nyangumi, pamoja na kipande cha chusa, vilionesha umri wa miaka 211 kwa nyangumi mmoja, na kuwafanya nyangumi pia kuwa wanyama wanaoishi kwa muda mrefu zaidi. . Mkia wa nyangumi unaweza kuwa pia kama alama ya kuwatambua, kama ilivyo kwa nyangumi wenye nundu mgongoni.

Je nyangumi huishi miaka ngapi?

  • Ground Truth Answers: 40 mpaka 9040 mpaka 9040 mpaka 90

  • Prediction: