Unowe (au Norwe au Norwei; kwa Kinorwei Norge/Noreg au rasmi huitwa Kongeriket Norge kwa Bokmål na Kongeriket Noreg kwa Nynorsk, Ufalme wa Unowe) ni nchi ya Skandinavia katika Ulaya ya Kaskazini.
Nchi ya Norwei ipo katika bara gani?
Ground Truth Answers: UlayaUlaya ya Kaskazini
Prediction:
Nchi inadai pia sehemu ya Queen Maud Land barani Antaktika penye kituo cha kisayansi cha Troll.
Nchi ya Norwei ipo katika bara gani?
Ground Truth Answers: Antaktika
Prediction: