TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Ndimu

The Typologically Different Question Answering Dataset

Ndimu ni matunda ya mndimu (Citrus aurantiifolia), mti wa familia ya michungwa (Rutaceae). Umbo lake ni mduara wenye rangi ya majani mpaka manjano, na kipenyo cha sm 3-6. Zina ladha ya uchachu kwa sababu ya asidi ndani yao. Ndimu mara nyingi hutumika kuongeza ladha kwenye chakula na vinywaji. Kwa kawaida ni ndogo kuliko limau, na chanzo kizuri pia cha vitamini C. Katika kanda za tropiki na nusutropiki mindimu inaweza kumea mwaka wote kama maji yakiwapo. Ndimu ni chungu kidogo kuliko malimau.

Je,ndimu iko katika familia gani ya mimea?

  • Ground Truth Answers: michungwamichungwamichungwa

  • Prediction: