TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Mlonge

The Typologically Different Question Answering Dataset

Mti wa mlonge pia umegundulika kuwa ndio mti wenye maajabu zaidi duniani hasa baada ya kufanyiwa utafiti na wanasayansi wa Uingereza. Mti huu una uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 100 kama vile vidonda vya tumbo, malaria, homa ya matumbo, maambukizo ya mfumo wa mkojo na magonjwa mengine. Mti huu pia umeonekana kuwa na protini nyingi kuliko inayopatikana katika nyama, maziwa, samaki pamoja na maharagwe. Pia mti huu una virutubisho vya Omega-3 ambavyo havipatikani katika maziwa na nyama hivyo kuwa ndio mti wa ajabu zaidi duniani.

Mti wa Moringa una tibu magonjwa aina ngapi?

  • Ground Truth Answers: zaidi ya 100zaidi ya 100zaidi ya 100

  • Prediction: