Mecklenburg ina eneo la 15,721 km². Nchi ni tambarare hakuna milima, na sehemu za juu znafikia mita 179 juu ya uwiano wa bahari. Kuna maziwa mengi madogo, misitu na hasa mashamba mengi. Upande wa kaskazini Mecklenburg inapakana na bahari ya Baltiki.
Ukubwa wa Mecklenburg ni kiasi gani?
Ground Truth Answers: 15,721 km²15,721 km²15,721 km²
Prediction: