TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Hyderabad

The Typologically Different Question Answering Dataset

  Hyderabad (Telugu: హైదరాబాద్ ) ni jina la kutaja mji mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh huko nchini India. Huu ni miongoni mwa miji mikuu nchini ikiwa na eneo la 650 square kilometres (250sqmi).[1] Jiji lina jumla ya wakazi wapatao 6,809,970 na wengineo zaidi ya 7,749,334 wanaoishi katika maeneo ya mji mkuu, na kuifanya Hyderabad kuwa mji wa nne duniani kwa wingi wa watu na mji wa sita kwa idadi ya wakazi wengi nchini India.[2]

Eneo la Hyderabad lina ukubwa gani?

  • Ground Truth Answers: 650 square kilometres650 square kilometres650

  • Prediction: