Homeri (pia: Homer; kwa Kigiriki: Ὅμηρος homeros) ni jina la mshairi mashuhuri kabisa wa Ugiriki ya Kale. Mashairi makubwa yanayosimulia vita vya Troya (Ilias) na misafara ya mfalme Odiseo (Utenzi wa Odisei) yamehifadhiwa kama kazi zake.
Homeri alizaliwa wapi?
Ground Truth Answers: Ugiriki
Prediction:
Kufuatana na mapokeo ya kale Homeri alikuwa mshairi kipofu aliyeishi katika eneo la Ionia (Asia Ndogo) lililokaliwa na walowezi Wagiriki mnamo karne wa 8 KK. Miji mbalimbali ya Ionia hutajwa kama mahali pa kuzaliwa kwake. Jina la mama yake lilikuwa Kreitheïs. Anasemekana alikufa kwenye kisiwa cha Ios.
Homeri alizaliwa wapi?
Ground Truth Answers: Miji mbalimbali ya Ionia
Prediction: