Graviti (kutoka Kiingereza: "gravity"; pia: kani ya mvutano, kanimvutano, nguvu ya uvutano, nguvu mvutano) ni kani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengu. Kila gimba lenye masi linavuta magimba yote mengine yenye masi.
Je,nini maana ya graviti?
Ground Truth Answers: kani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengukani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengukani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengu
Prediction: