Mwaka 42 KK walifaulu kuwashinda wauaji wa Caesar waliokaa Ugiriki na baadaye waligawana eneo la dola kati yao: Octavianus alikuwa mkuu wa sehemu ya magharibi na Marcus Antonius mkuu wa sehemu za mashariki alipomwoa Kleopatra malkia wa Misri.
Malkia Kleopatra alizaliwa wapi?
Ground Truth Answers: MisriMisri
Prediction: