Jamhuri ya Albania ni nchi ya Ulaya Kusini Mashariki. Imepakana na Montenegro, Kosovo, Jamhuri ya Masedonia na Ugiriki. Upande wa magharibi kuna pwani ya ghuba ya Adria ya bahari ya Mediteranea.
Je,Albania iko katika bara gani?
Ground Truth Answers: UlayaUlaya
Prediction: