Wao hukaa hasa katika nyanda za juu za Kenya ya Kati katika mazingira ya Nairobi hadi mlima Kenya. Mlima huu katika lugha yao huitwa "Kĩrĩma kĩrĩ Nyaga". Mlima huu wenye umaarufu kwa kuwa na kimo cha juu ni mahali ambapo wazee, walitolea kafara Mungu wao "Ngai".
Wagikuyu wanapatika sana mkoa gani nchini Kenya?
Ground Truth Answers: nyanda za juu za Kenya ya Kati katika mazingira ya Nairobi hadi mlima Kenya
Prediction:
Wakikuyu walikuwa waliishi kama watu huru na walitawala eneo waliloishi kati ya Mlima Kenya, Safu za Nyandarua (Kik: Mĩtambũrũko ya Nyandarwa), Vilima vya Ngong' (Kik: Kĩrĩma kĩa Mbirũirũ) na Mlima Ol Donyo Sabuk (Kik: Kĩrĩma kĩa Njahĩ)[2]. Hawakufanya biashara ya watumwa na hawakukuwa na utumwa katika jamii. Hata hivyo, walisimilisha kabila la Dorobo ambao walikuwa wenyeji katika baadhi ya misitu kwa njia ya ndoa za kabila tofauti[3]. Kwa njia hiyo, pamoja na kuchukua milki ya misitu, waliweza kupanua mipaka kufikia na zaidi ya eneo lliokuwa Mkoa wa Kati. Walikuwa wakulima na wafanyabiashara. Walifanya biashara na makabila jirani; Wamasai na Wakamba. Pia, walihusika katika utengenezaji chuma na kamba[3].
Wagikuyu wanapatika sana mkoa gani nchini Kenya?
Ground Truth Answers: Kati
Prediction: