Sensa ni utaratibu wa kupata na kutunza habari kuhusu idadi ya watu fulanifulani. Pia ni utaratibu wa mara kwa mara na hesabu rasmi ya idadi ya watu hao. [1] [2] Msamiati hutumiwa zaidi kuhusiana na idadi ya kitaifa na sensa ya mlango kwa mlango (kuchukuliwa kila miaka 10 kulingana na mapendekezo ya Umoja wa Mataifa), na ile ya kilimo na biashara.