TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Mwarobaini

The Typologically Different Question Answering Dataset

Mwarobaini (Azadirachta indica) ni mti unaofahamika kwa uwezo wake wa kutibu magonjwa ya aina mbalimbali. Inaaminika kuwa mti huu umetoka huko India na Burma.  Mwarobaini hushamiri zaidi katika nchi za tropiki na una uwezo mkubwa wa kuhimili ukame.