Mbwana Yusuph Kilungi (amezaliwa 3 Oktoba,1991) ni jina la mwimbaji, mtunzi na mwanamuziki maarufu kutoka nchini Tanzania - ambaye anajulikana kwa jina lake la kisanii kama Mbosso. Umaarufu ulianza kujulikana akiwa na kundi zima la Yamoto Band ambalo ndani yake kuliwa na Aslay, Beka Flavour, Enock Bella na Mbosso. Kwa pamoja walikuwa wanaunda Yamoto Band chini ya Mkubwa Fella na Wanawe. Jina la Mkubwa na Wanawe lilikuwa na hadi sasa bado lipo hivyo hivyo kama Mkubwa na Wanawe. Ndani ya mkubwa na Wanawe kuna vipaji mbalimbali.
Mwanamuziki Mbosso alizaliwa lini?
Ground Truth Answers: Oktoba,1991)Oktoba,1991)Oktoba,1991)
Prediction: