TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Kundinyota

The Typologically Different Question Answering Dataset

Kundinyota zimekuwa muhimu kwa ajili ya unajimu. Ni hasa kundinyota 12 za Zodiaki zinazodaiwa kuwa muhimu na kutawala tabia za watu kwenye horoskopi. Waswahili wa kale walirithi kundinyota hizi kutoka elimu ya Waarabu na kuziita buruji za falaki[3]