TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Kingamwili

The Typologically Different Question Answering Dataset

Chanjo amabazo hazijaamilishwa zinajumuisha viumbehai wadogo waliouliwa na kemikali na/au  joto na hawawezi tena kuambukiza. Mifano ni chanjo dhidi ya homa, kipindupindu, tauni ya mtoki, na hepatitisi A. Chanjo nyingi za aina hii zinaweza kuhitaji sindano za kuongeza nguvu. Chanjo hai, zilizopunguzwa zinajumuisha viumbehai wadogo ambao wamekuwa katika hali ambazo hulemaza uwezo wao wa kusababisha ugonjwa. Miitikio hii hudumu zaidi na kwa jumla haihitaji sindano za kuongeza nguvu. Mifano ni pamoja na homa ya manjano, surua, rubela, na matumbwitumbwi. Toksoidi ni misombo ya sumu ambayo haijaamilishwa inayotoka kwenye viumbehai wadogo katika hali ambapo toksoidi hizi (badala ya viumbehai wenyewe) husababisha ugonjwa, inayotumika kabla ya kukutana na sumu ya kiumbehai. Mifano ya chanjo yenye msingi wa toksoidi ni pepopunda na dondakoo. Chanjo za vitengo vidogo vinajumuisha vipande vidogo vya viumbehai vinavyosababisha vidogo vya ugonjwa kusababisha athari ya viumbe. Mfano wa kawaida ni chanjo ya kitengo kidogo dhidi ya virusi hepatitisi B.