TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Kangaruu

The Typologically Different Question Answering Dataset

Macropus rufus, Kangaruu Mwekundu (Red kangaroo) ndiye mkubwa kuliko wengine wote wachache kwa idadi na hupatikana kwenye sehemu kama kidogo za bara, dume mkubwa huweza kufikia hata urefu wa mita 2 na uzito wa kg 90. Macropus giganteus, Kangaruu Kijivu Mashariki (Eastern grey kangaroo) hawafahamiki sana nje ya Australia lakini huonekana sana hasa maeneo ya mashariki mwa bara. Macropus fuliginosus, Kangaruu Kijivu Magharibi (Western grey kangaroo) huyu ni mdogo kiasi,karibu kg, 54 kwa dume mkubwa hupatikana mashariki mwa Australia, kusini mwa Australia na kwenye bonde la mto Darling. Macropus antilopinus, Kangaruu Swala (Antilopine kangaroo) kwa uhalisia, wanapatikana kaskazini zaidi ukilinganisha na wengine kama wao, ni viumbe wa nyikani na msituni na huishi kwa makundi makundi.