Fidla (kutoka Kiingereza fiddle; pia: violini, kutoka jina la Kiitalia violino) ni ala ya muziki yenye nyuzi. Idadi ya nyuzi ni 4 zinazopigwa au zaidi kuchuliwa kwa uta. Nyuzi zinawekwa kwa kawaida kwa noti za G, D, A na E.
Fidla iligunduliwa nchini gani kwanza?
Ground Truth Answers: Kiitalia
Prediction:
Fidla zilibuniwa katika Ulaya ya Kusini takriban miaka elfu iliyopita kama nakala ndogo za ala za nyaya kubwa zaidi.
Fidla iligunduliwa nchini gani kwanza?
Ground Truth Answers: Ulaya ya KusiniUlaya ya Kusini
Prediction: