Mji ulianzishwa 1824 na kikosi cha wanajeshi Waiingereza waliojenga makazi kwenye pwani la hori ya Natal. Mmoja wao aliweza kumsaidia mfalme wa Zulu Shaka aliyegonjeka kutokana na majeruhi. Mfal,me akatoa shukrani kwa kumpa Mwingereza zawadi ya kanda la eneo lenye urefu wa maili 25 kwenye pwani na upana wa maili 100 kuingia bara. Mji uliitwa kwa heshima wa gavana wa koloni ya Rasi Sir Benjamin d'Urban hivyo "Durban".
Jina wa mji wa Durban linatokana na nini?
Ground Truth Answers: gavana wa koloni ya Rasi Sir Benjamin d'Urbanheshima wa gavana wa koloni ya Rasi Sir Benjamin d'Urban hivyo "Durban"
Prediction: